WAKALA WA VIPIMO WATOA ELIMU YA VIPIMO KWA WAKULIMA ZAO LA KAHAWA, KAGERA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 18 June 2019

WAKALA WA VIPIMO WATOA ELIMU YA VIPIMO KWA WAKULIMA ZAO LA KAHAWA, KAGERA

Wakulima wa Kahawa pamoja na Viongozi wa Vyama vya msingi wakiapishwa na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godrefy Muheruka (Aliyevaa Koti) kuwa hawatachakachua Mizani ya kununulia Kahawa Wilayani humo, kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa ununuzi wa zao la Kahawa.
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godrefy Muheruka akifuatilia elimu na Afisa Vipimo, Jares Msalike namna ya kutambua Mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo ili kuwalinda Wakulima kwa Vipimo sahihi.
Maafisa wa Wakala wa Vipimo wakitoa Elimu kwa wakulima wa zao Kahawa mkoani Kagera katika Wilaya ya Karagwe katika Chama cha msingi cha Nyakahanga namna ya kutambua mizani sahihi na ile isiyo sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad