Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimuombea mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
 

 
 




 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment