HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 7 February 2019

WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU

 Mkurugenzi wa Mazingira wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua warsha ya Wadau kwa ajili ya kupitia rasimu ya Ripoti ya hali ya Wachimbaji wadogo wa dhahabu iliyofanyika jijini Dodoma.
 Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya  Sera na Mipango  kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Paul Sangawe, akisoma hotuba ya ufunguzi wa Warsha hiyo ikiwa anamuwakilisha Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais.  Waliokaa kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha na kushoto ni Mkurugenz i Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Magdalena Mtenga.
 Sehemu ya Washiriki waliohudhuria Warsha hiyo ya kupitia rasimu ya Ripoti ya Wachimbaji wadogo wa dhahabu.
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wote waliohudhuria Warsha hiyo iliyofanyika jijini Dodoma

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad