Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu katika kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu kwenye kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.

Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakijadili maendeleo ya wagonjwa waliolazwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) ambao wamefanyiwa upasuaji wa moyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji wa kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu inayoendelea katika Taasisi hiyo na hali zao zinaendelea vizuri ambapo wengine wamesharuhusiwa kutoka ICU na kurudi wodini kwa ajili ya kuendelea na matibabu ikiwa ni pamoja na mazoezi.
Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu kwenye kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Picha na JKCI
No comments:
Post a Comment