Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Charles Singili wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TIB Corporate, Frank Nyabundege.
Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa Umoja
huo, Charles Singili (Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya TIB)
na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TIB Corporate, Frank Nyabundege
(kulia) walipomtembelea ofisini kwake leo Januari 10, 2019.

Kikao kikiendelea.
No comments:
Post a Comment