
Familia ya Daudi Liana, Usangi-Mwanga Kilimanjaro wakitoa msaada wa mashuka kwa wodi ya wazazi ya hospitali ya Wilaya ya Mwanga, Usangi, Kilaweni.
Picha ya pamoja ya familia ya Daudi Liana wakiwa pamoja na uongozi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, Usangi Kilaweni.
Picha ya pamoja ya familia ya Daudi Liana wakiwa pamoja na uongozi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, Usangi Kilaweni



Mmoja ya wanafamilia ya Daudi Liana wa Usangi-Mwanga Kilimanjaro akionesha moja ya misaada ya mashuka kwa wodi ya wazazi ya hospitali ya Wilaya ya Mwanga, Usangi, Kilaweni.
No comments:
Post a Comment