DAWASA TUMEAHIDI NA TUMETEKELEZA SALASALA
Kazi ya kuunga wateja wa zamani katika mfumo mpya imekamilika. kazi hii iliyohusisha ufungaji wa valves za inch 8" na inch 6" ilifanyika usiku kucha kuamkia Dec 9, 2018. Hivi Sasa wananchi wa Salasala na sehemu ya Kinzudi wameanza kupata maji kupitia mfumo mpya.

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wakiwa wanaendelea na ulazaji wa mabomba ya maji na ufungaji wa valves za inch 8" na inch 6".

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wakiwa wanaendelea na ulazaji wa mabomba ya maji na ufungaji wa valves za inch 8" na inch 6".
No comments:
Post a Comment