HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 6, 2018

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BW. APSON MWANG’ONDA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA USALAMA WA TAIFA IKULU JIJINI DAR ES SAALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alipomtembela Ikulu jijini Dar es Salaam.Disemba 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, wakati wanaagana mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Disemba 6, 2018.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad