HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 12 December 2018

MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR

 Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb( Diamond Platnumz) akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili na Ujumbe wake katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
 Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb( Diamond Platnumz) akiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Juma (Pondeza)wapili kushoto na Wasanii wengine mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo cha Afya Cha Chumbuni Dkt Mohamed Muslim Mohamed alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
 Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Juma (Pondeza)akitoa hotuba ya makaribisho kwa Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb(Diamond Platnumz)kuzungumza na Vijana na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb( Diamond Platnumz) akizungumza na Vijana na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
 Baadhi ya wananchi mbalimbali waliofika katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar ili kumuona Abdull Nasiyb (Diamond Platnumz) wakati alipofika kituoni hapo na ujumbe wake kwa ajili ya kutoa msaada wa Vitu mbalimbali kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad