Katibu mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla kushoto akitiliana saini na Makamu wa Rais wa Hospitali ya Nanjing Drum Tower ya China Yu Cheng Gong kuhusiana na Mradi wa kuchunguza Kansa ya Shingo ya kizazi,hafla iliofanyika Wizara ya Afya Zanzibar.
Katibu mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla kushoto akibadilishana hati ya saini na Makamu wa Rais wa Hospitali ya Nanjing Drum Tower ya China Yu Cheng Gong kuhusiana na Mradi wa kuchunguza Kansa ya Shingo ya kizazi,hafla iliofanyika Wizara ya Afya Zanzibar.
Mkurugenzi Tiba Hospitali ya Mnazi Mmjoa Dkt,Juma Salum, Mbwana kulia akikabidhiwa mashuka na Katibu wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar ZSTC Ali Hilal Vuai yaliotolewa msaada na shirika hilo kwa Hospitali mbalimbali za Wilaya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment