HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 18 December 2018

JIONEE MWENYEWE MOMBO NA UMAARUFU WA NYAMA CHOMA YA MBUZ


Mombo  ni  eneo maarufu ambalo kwa sasa limezidi kujizolea sifa na umaarufu mkubwa kwa kuchoma nyama ya mbuzi, ambapo wasafiri wengi wanaotumia barabara kuu ya Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Kilimanjaro,Arusha wasafiri huwa wakisimama eneo hili na kupata nyama choma kama inavyoonekanika  pichani, wauzaji wakiandaa wakiandaa  huku baadhi ya wasafiri wakijisevia.Picha na Emanuel Massaka.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad