HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 25 December 2018

HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI YA TAASISI YA DORIS MOLLEL YAFANA JIJINI DAR

 Mgeni Rasmi katika hafla ya chakula cha jioni iliyoangaliwa na Taasisi ya Doris Mollel, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza katika hafla hiyo, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Protea, jijini Dar es salaam ikiwa ni kwa ajili ya kujadili mambo kadhaa yanayowahusu watoto wanaozaliwa kabla ya wakati pa moja na kuufunga mwaka wa 2018 na kujiangaa kuukaribisha mwaka mpya wa 2019. Kulia ni Muanzilishi wa Taasisi hiyo na Balozi wa Watoto njiti nchini, Doris Mollel na kushoto ni mmoja wadau wakubw wa Taasisi hiyo, Beatrice Mbawala.
 Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto njiti nchini, Doris Mollel akizungumza machache yaliyofanywa na taasisi yake katika kipindi cha mwaka 2018 wakati wa hafla ya chakula cha jioni kwa ajili ya kuufunga mwaka, iliyofanyika katika hoteli ya Protea, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
 Sehemu ya wageni waliohudulia hafla hiyo.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad