HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 6 November 2018

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Korogwe Mjini baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde. wakati wa picha ya pamoja katika Viwanja vya Bunge na  Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa  Dodoma leo Novemba 06, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad