Habari ndugu, Jamaa, rafiki, na wadau wetu.
Tunayo furaha kubwa kukujulisha kuwa kampeni ya kuhifadhi msitu wa Rau (Msitu wa Njoro) uliopo Moshi mjini inayoitwa “One Trip - One Tree” imepitishwa katika “Global Landscapes Hero”. Kampeni hii inasaidia katika kuhifadhi mazingira na msitu wa Rau kwa ujumla.
Hivyo basi tutumie fursa hii kukuomba wewe mdau wetu kutupiga kura kwa kubofya link hii https://bit.ly/2zWSRbC
Inachukua dakika mbili tu kufanikisha zoezi zima, ukishafungua nenda mpaka mwisho bofya kwenye ''Vote Now''.
Asante sana na pia unaweza kuwajulisha wengine kwa kusambaza ujumbe huu ili tuweze kushinda. Rau eco & cultural tourism wakishinda, wadau wa mazingira tumeshinda
#landscapeshero #Thinklandscape #kilimanjaro #tanzania #africa
Monday, November 19, 2018

WAPIGIE KURA RAU ECO & CULTURAL TOURISM..
Tags
# HABARI MCHANGANYIKO
# HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA BIASHARA
Labels:
HABARI MCHANGANYIKO,
HABARI ZA BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment