HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 30 November 2018

MSHINDI WATATU WA KIKE WA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA APATIKANA GOBA


         Na.Khadija seifglobu ya jamii

MSHINDI mwigine mwanamama ambae amekua mwanamke watatu kujishindia Bajaji RE amepatikana na kupatiwa zawadi yake Goba jijini Dar es Salaam.

Katika droo hiyo ya 64 Petronila Sirinya ambaye alibashiri na moja kwa moja kuingia kwenye droo ya Shinda Zaidi na SportPesa na kujishindia Bajaji Re kutoka SportPesa.

Mshindi Huyo wa Droo ya 64 alisema alianza kushawishika kucheza na SportPesa baada ya kuona vile watu wengine wanashinda kwenye promosheni ya Shinda zaidi ndipo na yeye kuchukua uamuzi wa kuanza kucheza na timu ya kushinda kuutafuta ushindi wake.

Sinnya amesema amefurahishwa na ushindi huo na hajawahi kushinda kabisa kwani  ni mama wa nyumbani na hakufikiria kama angeshinda na kwabsasa ataweza kumudu mahitaji Yake  kutoka kukaaa nyumbani mpaka kumiliki bajaji yake .


Aidha Petronila alisema kipato atakachopata kupitia bajaji hiyo kitamsaidia kujiendeleza kielimu zaidi huku pesa nyingine ataziwekea mipango mizuri kumuwezesha mtoto kusoma shule nzuri.

Hata hivyo ameeleza kuwa hata mume wake atakuwa ameshawishika sasa maana wakati anacheza alikuwa akiona kama anapotezapesa zake lakini baada ya kushinda yeye ndio aliesisitiza kuendelea kucheza kweli ushindi una raha yake " alisema Bi.Sirinya.

Kwa upande mwingine aliipongeza SportPesa kwa kutoa huduma bora kwa wateja wake sambamba na kuwajali kwa kuwatumia pesa za ushindi mara baada tu ya mechi kumalizia, huku akiweka wazi mikakati yake ya kuanza kusaka mtonyo wa Jackpot.

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya zawadi kwa mshindi huyo Meneja Uhusiano Bi. Sabrina H. Msuya alisema kampuni yao inahuduma mbalimbali ambazo mteja akicheza anaweza kujishindia pesa ambazo  anapata mara baada ya kuweka ubashiri wake na kupata kiusahihi na kujishindia Bajaj RE,simu janja pamoja na jezi orijino za simba na yanga.

Alikadhalika Msuya amefafanua kuwa wiki hii jackpot imepanda mpaka shilingi 403,525820 ambapo Mteja akibashiri kwa usahihi mechi  kumi na tatu na kuzawadiwa bonasi kwa watakaobashiri.
Bi.Petronila Sirinya akikabidhiwa funguo ya Bajaji RE mshindi wa shinda zaidi na sportpesa kutoka Goba jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad