HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 8 November 2018

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MKURUGENI MKUU WA NSSF JIJINI DAR LEO

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), William Erio alipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha na kuzungumzia mikakati ya ushirikiano wa kibiashara, kikao kilichofanyika leo, jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), William Erio katika kikao chao kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Mwambapa wakati wa kikao chao na Ujumbe wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), William Erio baada ya kikao chao, leo jijini Dar es salaam.
Picha ya pamoja ya viongozi wa Benki ya CRDB na NSSF baada ya kikao chao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad