
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela
aliyemtembelea ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Nsekela
alikwenda kwa lengo la kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kuwa
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki
ya CRDB, Tully Esther Mwambapa aliyeambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,
Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma
kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa mara baada ya
kumaliza mazungumzo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es
Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment