HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 28 November 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU THABO MBEKI NA WAZIRI WA MAENDELEO WA KIMATAIFA WA NORWAY IKULU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Novemba 28,2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi  Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yamehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Afrika mashariki Dkt.Damasi Ndumbaro,Naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba pamoja na Balozi wa Norway nchini Elisaberth Jacobsen Novemba 28, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup , Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Afrika mashariki Dkt.Damasi Ndumbaro,Naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba pamoja na Balozi wa Norway nchini Elisaberth Jacobsen Novemba 28, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kumaliza mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway Nicolai Astrup , Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 28, 2018.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza  na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu kabla ya kuagana nae Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu(watatu kutoka kushoto) kutoka kulia kwa mhe.Rais Magufuli ni  Bw.Barrister Akere Muna,Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Dkt.Damas Ndumbaro,Bi Mojanko Gumbi (Wapili kutoka kulia )Wakili wa Mhe.Thabo Mbeki, na Balozi Zuhura Bundala (wakwanza kutoka kushoto) Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu .Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu wakati anazungumza na Wanahabari (hawapo pichani).Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bwana Barrister Akere Muna aliyeambatana na  Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia sahini kwenye kitabu cha Barrister Akere Muna aliyeambatana na  Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mhe.Thabo Mbeki Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Afrika linalohusu Udhibiti na Utakatishaji wa Fedha haramu mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam.Novemba 28,2018

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad