HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 11, 2018

Wateja Wafurahia Promosheni Kabambe Maduka yote ya Tigo nchini Msimu huu wa Tigo Fiesta Vibe Kama Lote

Wateja wa Tigo walionunua simu aina ya Tecno S2 Tecno R6 na ZTE-KISS 3 wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kupewa zawadi zao za tiketi kuhudhuria tamasha la Tigo Fiesta litalofanyika kesho uwanja wa Majimaji.
Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Neema Sammy akimkabidhi mteja, Otimary Kapinga simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo
Wakaazi wa Itundu mjini Songea wakiangalia simu mbalimbali kwenye duka la Tigo lililopo mtaa huo. Katika msimu huu wa Tigo Fiesta wateja wa Tigo wanapata bonasi ya hadi GB 2 baada ya kununua simu aina ya Tecno S2, R6 na ZTE-KISS 3 katija maduka yote ya Tigo nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad