MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga
(NHIF) Ally Mwakababu kushoto wakiwa na wateja wao wa benki ya NMB
wilayani Handeni kupata ushauri ,malalamikona changamoto wanazozipata
watumishi hao katika kupata huduma za bima ya afya kwenye vituo vya
kutolea huduma ikiwa ni wiki ya wateja
Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)
Lawi Kupaza akizungumza jambo kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu Sehemu ya watumishi wa Benki ya NMB wakifuatilia kwa
umakini
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga
(NHIF) Ally
Mwakababu kushoto akiwa na wakiwa na wateja wao wa benki ya NMB
wilayani Handeni
kupata ushauri ,malalamikona changamoto wanazozipata watumishi hao
katika kupata huduma za bima ya afya kwenye vituo vya kutolea huduma
ikiwa ni wiki ya wateja
Sehemu ya watumishi wa NMB wilayani Handeni wakimsikiliza kwa
umakini Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)
No comments:
Post a Comment