HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 18 September 2018

WAFANYABIASHARA KATIKA SOKO LA KIWALANI WAKIWA KAZINI

 Mfanyabiashara  wa samaki waliokaushwa katika soko  la Kiwalani Dar es Salaam akiwawauzia samaki wananchi wa eneo hilo  ambapo samaki moja unza 1000 hadi 6000(Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)

Mfanyabiashara wa viungo vya mboga  katika soko la Kiwalani jijini Dar es Salaam akiwauzia  wananchi  ambapo fungu la nyanya linauzwa kwa Sh 200 hadi 300.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad