Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen
(kushoto) akikabidhi kadi ya gari kwa mkazi wa Tanga Adolf Mlay, huku
mkewe Amina Urssa akishuhudia, hafla hiyo ya kusherehekea miaka 10 ya
M-Pesa ilifanyika katika viwanja vya Commercial jijini Tanga, ili
kushinda Mteja anatakiwa kufanya miamala mingi Zaidi na kutumia M-Pesa
ili kujikusanyia points na kuongeza wigo wa kushinda.
Mshindi wa gari ya tisa ya M-Pesa kutoka Tanga Adolf Mlay (wa pili
kushoto) na wake wakionesha kadi ya gari wakati wa hafla ya kukabidhiwa gari
katika viwanja vya Commercial jijini Tanga
Mshindi wa gari ya tisa ya M-Pesa kutoka Tanga Adolf Mlayakiingia kwenye gari lake mara baada ya kukabidhiwa na kampuni ya simu ya Vodacomkatika viwanja vya Commercial jijini Tanga
Mshindi wa gari ya tisa ya M-Pesa kutoka Tanga Adolf Mlay (wa pili
kushoto) akiwa na familia yake wakati wa hafla ya kukabidhiwa gari
katika viwanja vya Commercial jijini Tanga
No comments:
Post a Comment