Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Buhigwe Mhe. Albert Obama mara
baada ya kuwasili kwenye shamba la miti la Buhigwe katika kijiji cha
Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiuandaa mti kabla ya kuupanda kwenye shamba la miti la Buhigwe,
kushoto anayemsaidia Makamu wa Rais ni Meneja Wakala wa Huduma za
Misitu (TFS) Kanda ya Magharibi Bw. Valentine Msusa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiweka udongo kwenye mti wa kumbukumbu alioupanda kwenye shamba
la miti la Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani
Kigoma.
Sehemu ya miche laki mbili na nusu iliyopandwa kwenye shamba la miti Buhigwe mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwasalimu wananchi wanaoishi jirani na shamba la miti la
Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma.
: Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi
Profesa Joyce Ndalichako pamoja na Mbunge wa Jimbo la Buhigwe Mhe.
Albert Obama wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Munzenze,
Buhigwe mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akihutubiwa wananchi katika kijiji cha Munzenze, Buhigwe mkoani
Kigoma.
Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Munzenze waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment