HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 3 August 2018

TCAA WASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE

 Afisa Habari Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila Akizungumza na Mmoja wa Watu Waliofika Katika Banda la Maonesho la Mamlaka Katika Viwanja vya Themi Jijini Arusha. Kulia ni  Bestina Magutu, Ambaye Pia ni Afisa Habari wa TCAA.
 Afisa Habari  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu Akizungumza na Mmoja wa Watu Waliofika Katika Banda la Maonesho la Mamlaka Katika Viwanja vya Themi Jijini Arusha. (Kushoto) ni Ally Changwila, Amba pia ni Afisa Habari TCAA.
Muongoza Ndege Mwandamizi  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ahmed Abeid Akizungumza na Watu Waliofika Katika Banda la Maonesho la Mamlaka Katika Viwanja vya Themi Jijini Arusha.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad