Mshindi wa gari la tano  aina ya Renault Kwid  katika promosheni ya  
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani (kushoto) Mkazi
 wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, akionyesha funguo za gari 
pamoja na kadi ya gari hilo mara baada ya kukabidhiwa na Kaimu 
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa 
hafla ya kumkabidhi iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala 
jijini Dar es alaam. Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa 
Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (wa pili
 kushoto) akimpongeza mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la
 promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani
 wakati wa hafla ya kumkabidhi  gari lake iliyofanyika katika Viwanja 
vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam. Yamebakia magari matano ili 
kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu. Kushoto
 ni Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp 
Ndekana na Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa 
kampuni hiyo Jacquiline Materu. 
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia)
 akimwelekeza namna ya kufungua mlango wa gari  mshindi wa gari la 
tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya miaka kumi ya M-Pesa, 
Salum Chande Athumani mara baada ya kumkabidhi wakati wa hafla 
iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  
Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia 
huduma ya M-Pesa tu.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) 
akimshuhudia,  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la 
promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa Salum Chande Athumani, 
akifungua mlango wa gari mara baada ya kumkabidhi wakati wa hafla  
iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) 
akimuonyesha ufunguo  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la
 promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani
 wakati wa hafla ya kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya
 Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  
Mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  katika promosheni ya  
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa,Salum Chande  mkazi wa Mbagala Rangi 
Tatu (aliyekaa ndani ya gari)  akishuhudiwa na mama yake mzazi  wa pili 
kushoto wakati akipongezwa na  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom 
Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika 
katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es alaam. 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) 
akishuhudia familia ya  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  
la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande 
Athumani akiwa amebebwa juu kwa furaha ya ushindi  wakati wa hafla  ya 
kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala 
jijini Dar es Salaam.  
 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Plc, 
Jacquiline Materu akiongea wakati wa hafla ya kumkabidhi gari aina ya 
Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa mkazi 
wa Mbagala Rangi Tatu, Salum Chande Athumani, iliyofanyika katika 
Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam, wapili kushoto ni 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi. Kushoto
 ni Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp 
Ndekana pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp Ndekana 
pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakimshangilia mshindi wa gari la 
tano aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya 
M-Pesa mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Salum Chande Athumani, wakati 
alipokuwa akiingia katika viwanja vya Zakhiem  jijini Dar es Salaam 
kukabidhiwa gari lake.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (wanne 
kushoto)  akiwa na wafanyakazi wenzake  katika   viwanja vya Zakhiem 
Mbagala jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumkabdhi  mshindi wa 
gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  miaka kumi ya 
M-Pesa, Salum Chande Athumani ambaye ni mkazi wa Mbagala Rangi Tatu 
(hayupo pichani )
Wakazi wa maeneo ya Mbagala Kuu na viunga vyake wakiwa katika   viwanja 
vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumkabdhi  
mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani ambaye ni mkazi
 wa Mbagala Rangi Tatu (hayupo pichani )
Mmoja wa vijana mtaalam wa kuchezea baiskeli akionesha umahili  wakati 
wa hafla ya kumkabidhi  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  
la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande 
Athumani mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (hayupo pichani ).
Mshindi wa gari la tano aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani  mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (katikati) akiwa na mama yake mzazi wakipagawishwa na msanii wa Singeli Msaga Sumu  (wapili kulia) pamoja na kundi lake wakati wa  hafla  ya kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.



No comments:
Post a Comment