HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 6 August 2018

RAIS WA ZANZIBAR AFANYA ZIARA CHUO CHA UTALII, MJINI BALI INDONESIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara alipotembelea katika chuo hicho jana kiliopo Bali Indonesia akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea mashada ya mauwa kama ishara ya mapokezi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati alipowasili katika Chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indonesia Nd,INyoman Sudiksa ,SE.M.Par alipotembelea katika chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara.
Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Utalii katika Mji wa Bali Nchini Indinesia wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Chuo hicho alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein walipotembelea jana wakiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara (kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuuliza suala Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa chuo cha Utalii kiliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara walipokuwa wakiangalia ramani ya majengo ya Chuo jana alipotembelea akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Kofia ya Dardhi ya Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Byomantara alipotembelea katika Chuo hicho jana pamoja na ujumbe wake alipokuwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo Bali,Indonesia Dr Dewa Gede Byomantara (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika Chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo katika Mji wa Bali, Indonesia Dr.Dewa Gede Byomantara (kulia) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakiwa katika picha na Uongozi wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Indonesia mara baada ya kukitembelea Chuo hicho katika ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli ya Discovery Kartika Plaza iliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia Bw.James Coasta,C.H.A. wakati akiondoka katika Mji wa Bali Nchini Indonesia baada ya kuamaliza ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Mji huo ambapo jana aliondoka kurudi Jakarta akiendelea na ziara kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla, na Ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Viungo vya Zanzibar Bw.James Coasta,C.H.A. Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli ya Discovery Kartika Plaza iliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia alipokuwa akiondoka jana katika Mji huo kuelekea Jakarta akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla, na Ujumbe aliofuatana nao. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad