Mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Nane nane na Rais Mstaaafu wa awamu ya tatu,Benjamini Mkapa akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Taasisi ya kusaidia sekta binafsi ya Kilimo nchini (PASS) Killo Lusewa baada ya taasisi hiyo kuibuka kinara wa maonesho hayo kwa taasisi zisizo za Kiserikali,maonesho yaliyofanyika kitaifa mkoani Simiyu.



Waziri wa Mifugo na Uvuvi ,Luhaga Mpina akikabidhi cheti kwa Meneja wa Taasisi ya kusaidia sekta Binafsi katika Kilimo(PASS)
kanda ya Kaskazini ,Hadija Seif mara baada ya tasisi hiyo kutangazwa washindi wa pili kwa taasisi
zisizo za Kiserikali katika maonesho ua nane nane ambayo yamefanyika
mkoani Morogorogo .
Meneja wa Taasisi ya kusaidia sekta Binafsi katika Kilimo(PASS)
kanda ya Kaskazini ,Hadija Seif akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa taasisi hiyo mara baada ya kutangazwa washindi wa pili kwa taasisi
zisizo za Kiserikali katika maonesho ua nane nane ambayo yamefanyika
mkoani Morogorogo .
Cheti kilichokabidhiwa kwa PASS,Morogoro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment