HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 22 August 2018

MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Akiba ,mafunzo yanayofanyika Masama ,Machame wilayani Hai.
Katibu tawala wilaya ya Hai,Upendo Wela akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya askari wa jeshi la Akiba yanayofanyika katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Hai.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Yohana Sintoo akizungumza katika hafla fupi ya ufunguzi wa mafunzo hayo ya asakri wa jeshi la akiba.
Mshauri wa Jeshi la akiba katika wilaya ya Hai,Solomon Kimishua akizungumza katika ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa wameketi tayari kumsikiliza mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo kwa askari wa jeshi la akiba.
Baadhi ya Wakufunzi na viongozi katika usimamizi wa mafunzo hayo kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  
Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya aksalimiana na washiriki wa mafunzo hayo mara baada ya kufungua rasmi.
Washiriki wa Mafunzo wakianza rasmi mazoezi kwa vitendo ya kuwaandaa kuwa wakakamavu.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad