HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 9 August 2018

Mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam akabidhiwa gari mpya RenaultKwid toka M-Pesa

 Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko  jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na mke wake Frida Saimoni (kushoto )akikabidhiwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam, na Pwani, George Lugata  funguo za gari  wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
 Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata,(kulia) akimkabidhi  Kadi  na Funguo za gari mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo ambaye ni mkazi  wa Boko  jijini Dar es Salaam,   wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
 Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo ambaye ni  mkazi wa Boko  jijini Dar es Salaam, akitoa ushuhuda jinsi alivyojishindia gari kwa waandishi wa habari  wakati wa hafla kumkabidhi gari hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam  Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#kushoto ni  mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata na Balozi wa M-Pesa Idrisa Sultan (kulia)
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu akiongea kwa waandishi wa Habari pamoja na wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla kumkabidhi  Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo . Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#
 Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata,(kushoto) akimkabidhi Abdukarim Mkwava mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1   baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya M-Pesa habari  wakati wa hafla kumkabidhi gari  mshindi wa sita Batholomeo Kanjo  iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam . Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#
 Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata,(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1  mkazi wa Mwenge Samweli Joseph baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya M-Pesa ,  wakati wa hafla kumkabidhi gari    aina ya Renault Kwid  mshindi wa sita Batholomeo Kanjo  iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam . Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00# wapili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni.
 Balozi wa Miaka 10 ya M-Pesa  Idrisa Sultan, akionge na wananchi waliojitokezwa kwenye  viwanja vya Mwenge  wakati wa hafla ya kumkabidhi mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko  jijini Dar es Salaam. Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#
 Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo (watatu kushoto) akitoa ushuhuda njisi alivyoibuka mshindi  wa Promosheni ya M-Pesa  wakati wa hafla kumkabidhi gari  hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es huku akishuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu( kushoto) Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata, Balozi wa M-Pesa Idrisa Sultan, Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota na  Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni. Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad