Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jeroen Verheul alipomtembelea leo tarehe 18 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jeroen Verheul alipomtembelea leo tarehe 18 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jeroen Verheul alipomtembelea leo tarehe 18 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jeroen Verheul alipomtembelea leo tarehe 18 Juni, 2018 fisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment