Wajasirimali katika Soko kuu la samaki la mkoa wa Lindi wakitayarisha Samaki.
Wavuvi wakiwa katika jahazi wakiandaa samaki ambao wamewavua kwa ajili ya kuwauza katika soko kuu la samaki la mkoa wa Lindi.
Chombo kikiandaliwa.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jambii Lindi.
No comments:
Post a Comment