Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa
habari mkoani Dodoma juu ya kumsimamisha kazi Mkurungenzi wa Halmashauri ya
wilya ya Nkasi bw. Julius Kaondo,picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii
Dodoma.
Friday, December 8, 2017

WAZIRI JAFO AMEMSIMAMISHA KAZI MKURUNGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment