Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari juu ya Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasimi katika kilele cha siku ya maadili na haki za binadamu Desemba 10 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma.kulia ni Kamishna wa Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold R.Nsekela.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George
Mkuchika akitembelea mabanda mbalimbli katika viwanja vya Mwalimu Nyerere
mkoani Dodoma.picha zote na Emmanuel Massaka,Globu jamii Dodoma.
No comments:
Post a Comment