Bweni la Wasichana la shule ya sekondari Itamba iliyopo katika tarafa ya Matamba wilayani Makete mkoani Njombe jana liliteketea kwa moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika. Angalia video ya tukio hilo hapo chini:-
No comments:
Post a Comment