HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 8, 2017

WIMBO WA PEMBETULE WA KINYAKYUSA UNAENDELEA KUKONGA NYOYO ZA WANAMBEYA..

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mbeya wakiserebuka kwa staili ya aina yake kama uonavyo hapo katika Taswira katika kucheza wimbo wa kinyakyusa ufahamikao kwa jina la "Pembetule" Ukiwa na maana ya Kucheza, Wimbo huo unaendelea kubamba maeneo mbali mbali ya Jiji na nje ya Jiji la Mbeya haswa kwenye Sherehe Mbalimbali.
Huu ndio uchezaji wa Wimbo huo lazima uwe na nguo ya ziada baada ya kumaliza kuucheza maana inaweza kuisha upande mmoja.
Mwana kaka akiendelea kupembetulika yaani kucheza Wimbo huo.
Pembetuleee.....Pembetuleeee..........Peembetuleeeee.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad