Mratibu wa kikundi cha 2Seeds cha kijiji cha Tabora Wilaya ya
Korogwe Tanga, Moshi Abdallah(kushoto) akimuonyesha mradi wa
kilimo cha mboga Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania Foundation, Sandra Oswald, wakati alipotembelea hivi
karibuni kujionea maendeleo ya miradi mbalimbali ya ujasiriamali
,ufugaji,kilimo, inayofanywa na kikundi hicho kilichofadhiliwa na mfuko
wa kusaidia jamii”Vodacom Tanzania Foundation” kwa kushirikiana na
shirika lisilo la Kiserikali la 2Seeds Network la nchini Marekani.
Wakinamama wa kikundi cha 2Seeds, wa kijiji cha Tabora Wilaya
ya Korogwe Tanga,wakishirikiana na Meneja Ruzuku na Mawasiliano
wa Vodacom Tanzania Foundation,Sandra Oswald (wapili kulia)
kumenya viazi wakati alipotembelea kikundi hicho hivi karibuni kujionea
maendeleo ya miradi mbalimbali ya ujasiliamali,ufugaji,
Kilimo,inayofanywa na kikundi hicho na kufadhiliwa na mfuko wa
kusaidia jamii”Vodacom Tanzania Foundation” kwa kushirikiana na
shirika lisilo la Kiserikali la 2Seeds Network la nchini Marekani.
Mwenyekiti wa kikundi cha 2Seeds cha kijiji cha Tabora Korogwe
Tanga,Asha Rajab(wapili kushoto) akimuonyesha Meneja Ruzuku na
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (
kushoto) moja ya mifuko yenye embe zilizotengenezwa kitalaam na
kuhifadhiwa kwenye mifuko maalumu tayari kwa kuuzwa sokoni,wakati
alipotembelea Kikundi hicho hicho hivi karibuni kujionea maendeleo ya
miradi mbalimbali ya ujasiriamali ,ufugaji,kilimo, inayofanywa na kikundi
hichokilichofadhiliwa na mfuko wa kusaidia jamii”Vodacom Tanzania
Foundation” kwa kushirikiana na shirika lisilo la Kiserikali la 2Seeds
Network la nchini Marekani.
Bibi Masoko wa kikundi cha 2 Seeds cha kijiji cha Tabora Wilaya
ya Korogwe Tanga ,Mariam Jecha (wapili kulia) akimfafanulia jambo hivi
karibuni,Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania
Foundation, Sandra Oswald (Kushoto) kuhusiana na jiko la kisasa la
kukaangia chips za viazi na mihogo zinazozalishwa na kikundi hicho
baada ya kupata mafunzo ya ujasiliamali kutoka kwenye taasisi isiyo ya
kiserikali ya 2Seeds ya nchini Marekani yenye makazi yake makuu
Wilayani humo, Mradi huo umefadhiliwa na na mfuko wa kusaidia
jamii”Vodacom Tanzania Foundation”
004.Moshi Abdallah na Monica Ayubu wa kikundi cha 2Seeds cha kijiji
cha Tabora Wilaya ya Korogwe Tanga,wakimshuhudia Meneja Ruzuku
na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra
Oswald,(kulia) akiangalia ubora wa vyakula vinavyosindikwa na kikundi
hicho, wakati alipotembelea hivi karibuni kujionea maendeleo ya miradi
mbalimbali ya ujasiriamali ,ufugaji,kilimo, inayofanywa na kikundi hicho
kilichofadhiliwa na mfuko wa kusaidia jamii”Vodacom Tanzania
Foundation” kwa kushirikiana na shirika lisilo la Kiserikali la 2Seeds
Network la nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment