Mrembo Stephanie Del Valle kutoka
Puerto Rico ndiye aliefanikiwa kushinda taji la Miss World 2016, lakini
muwakilishi wa Tanzania Diana Edward Lukumai kwa bahati mbaya hakufanikiwa
kufika nafasi za juu.
Afrika Mashariki imeweza kuwakilishwa vizuri na miss kutoka nchini Kenya baada ya kufanikiwa kuingia Top 5 na ndio nchi pekee ya Afrika iliyofanikiwa kuingia Top 5 ya Miss World, huku Miss Dominician Republic akishika nafasi ya pili na Miss Indonesia akishika nafasi ya tatu.
Mashindano hayo hayo yamefanyika Washington Marekani, Afrika ilipata nafasi kwa nchi za Kenya na Ghana kuingia Top 20.
Miss World 2016 akivalishwa taji.
Top 5 ya Miss World
No comments:
Post a Comment