HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 16, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AKAGUA GHALA LA KOROSHO MKOANI MTWARA

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akikagua ghala la kuhifadhia korosho za wakulima lililopo mkoani Mtwara, Ikiwa ni sehemu ya ziara yake aliyoianza Mkoani humo.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akikagua karakana ya ukaguzi wa mizani katika ofisi ya Wakala wa Vipimo Mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akutana na kaimu mkurugenzi wa bodi ya korosho Tanzania ndugu. Hassan M. Jarufu. Katibu mkuu yuko ktk ziara ya kusikiliza changamoto za korosho, maghala, vipimo na masoko mkoani mtwara.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bi. Halima Dendegu alipomtembelea leo ofisini kwake na kuanza ziara yake mkoani humo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad