Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Stat Oil ya Norway, Bw. Oystein
Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa
ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant) kinachotarajiwa
kujengwa katika eneo la Likon'go, Mchinga Mkoani Lindi.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na
Meneja Biashara wa Kampuni ya Stat Oil ya Norway Oivind Holm
Karlsen (watatu) kutoka kushoto mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni Mwakilishi wa
Kampuni hiyo, Bw. Oystein Michelsen. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment