Nahodha wa zamani wa Timu ya Coastal Union na Mdau mkubwa wa Michezo nchini, Tippo Athumani akikabidhi vifaa vya Michezo kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga, Steven Mnguto ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya ligi daraja la kwanza Tanzania Bara. Makabidhiano hayo yamefanyika Agosti 22, 2016 kwenye Duka la Vifaa vya Michezo la Zizzou Fashion, Sinza Jijini Dar es salaam. vifaa hivyo ni pamoja na Beebs, Cones, Mipira na Jersey set mbili watakazochezea ligi hiyo.
Tuesday, August 23, 2016

ZIZZOU FASHION YAIKUMBUKA COASTAL UNION, YAIPA VIFAA VYA MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment