HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 20, 2016

MISS ILALA 2016 SASA MAMBO YAMEIVA, WAREMBO 14 KUCHUANA JUKWAANI

Warembo watakao chuana jukwaani kuwania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi kwa picha katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam Agosti 19. Shindano hilo limezinduliwa sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya Miss Ilala tangu ianze mwaka 1996.

Warembo wakijiselfisha wakati wa hafla hiyo
Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam Agosti 19. Shindano hilo limezinduliwa sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya Miss Ilala tangu ianze mwaka 1996.
Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam Agosti 19.
Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam Agosti 19. Source: Father Kidevu Blog.
Mwandaaji wa shindano la Miss Ilala 2016, Teddy Kitundu ambaye pia ni diwani wa viti Maalum Ilala, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa shindano hilo Dar es Salaam Agosti 19. Wanaoshuhudia kulia ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania , Bossco Majaliwa (kulia) na Mkuu wa Itifaki wa Kamati hiyo, Albert Makoye. Miss Ilala inafanyika ikiwa ni mwaka wa 20 tangu lianze shindano hilo mwaka 1996.
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye akizungumza kwaniaba ya Kamati katika uzinduzi huo.
Mmoja wa wadhamini akizungumza katika uzinduzi huo. 
Mratibu wa shindano hilo la Miss Ilala 2016, Eric akizungumza.
Warembo waliowahi kushirikishindano la Miss Ilala wakifungua shampein katika uzinduzi huo.
Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa akigonganisha glasi na warembo wanaowania taji la Miss Ilala 2016.

Warembo wakigonganisha glasi na wadau wa urembo waliohudhuria hafla hiyo.

Warembo wakigonganisha glasi na wadau wa urembo waliohudhuria hafla hiyo.
Mdau akilamba unikoni na mlimbwende wa zamani wa Miss Tanzania.

Wadau wa urembo wakiwa katika hafla hiyo.
Mwandishi wa habari za michezo na sanaa ya urembo, Michael Mauruce (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad