Wadau kutoka Tanzania,Yusuf Dossaji, Akil Kasamali and Mustan wakiipeperusha vyema bendera yetu ya Taifa wakati walipokwenda kuangalia moja ya mechi za Kombe la Mataifa ya Ulaya, huko Nchini Ufaransa.
Wadau Yusuf Dossaji, Akil Kasamali na Mustan wakijumuika pamoja na mashabiki wengine wa soka kupiga ngoma kabla ya kuingia uwanjani.
Wadau Yusuf Dossaji, Akil Kasamali na Mustan wakijumuika pamoja na mashabiki wengine wa soka kupiga ngoma kabla ya kuingia uwanjani.
No comments:
Post a Comment