HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 12, 2016

NHIF LINDI YAWAPA ELIMU YA TOTO AFYA KADI AKINA MAMA WA HALMASHAURI YA (W) LIWALE

Meneja wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond akitoa elimu ya mpango mpya na wa gharama nafuu utakaomuwezesha mzazi kumlipia bima ya Afya mtoto chini ya miaka 18 unaojulikana kama TOTO AFYA KADI, kwenye kliniki ya mama na mtoto (RCH) Hospitali ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Liwale, Dkt. Augustine Mnape akitoa rai kwa akina mama walioudhuria kliniki kwa kuchangamkia fursa kwani ni mpango wenye manufaa zaidi na una uwigo wa mafao kwa shil. 50,400 tu.
Akina mama wakifuatilia elimu ya kitita cha mafao yanayotolewa kwenye mpango wa Toto afya kadi kutoka kwa meneja wa NHIF Lindi hayupo pichani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad