HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 18, 2016

OMBAOMBA WAGOMEA AGIZO LA MAKONDA.

AGIZO la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda lagonga mwamba baada ya baada ya ombaomba hao kuonekana barabarani wakiomba kama ilivyokuwa kawaid yao.


Ikiwa Mkuu wa Mkoa huyo alitoa agizo kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuwaondoa Ombaomba wote wanaoomba barabarani ifikapo Aprili 18 mwaka huu.
Mremavu wa Mguu akionekana kwenye maungio ya Barabara ya Bibi Titi, Barabara ya Maktaba na Barabara ya Alhasan Mwinyi akiomba msaada kwa wasamalia wema jijini Dar es Salaam leo.
Ombaomb ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiomba msaada kwa wasamalia wema katika barabara ya Bibititi jijini Dar es Salaam
 Watoto wakiwa barabara wakiwa na Daftali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad