Mwakilishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Manyara, Haji Mpeta akiwapa elimu ya NHIF madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kwenye kikao cha baraza hilo lililofanyika mji mdogo wa Orkesumet.
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, wakimsilikiza mwakilishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Manyara, Haji Mpeta akiwapa elimu ya NHIF.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Sipitieck, akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani kuhusiana na kujiunga na NHIF.

No comments:
Post a Comment