HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 13, 2016

KIWANDA KIPYA CHA VINYWAJI VIKALI CHAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Afisa Habari wa kampuni ya nyati Spirit Tanzania, Alma Miraji akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Kiwanda kipya cha vinywaji vikali cha Nyati Spirit Tanzania havitakuwa madhara kwa mtumiaji kutokana na kuthibishwa na shirika la viwango Tanzania (TBS) pamoja na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) leo jijini Dar es Salaam kuliani Mkuu wa uhakiki wa kiwanda hicho Karan Suchak
Wafanyakazi wa kiwanda cha Nyati Spirit Tanzania wakitoa maelekezo ya namba mashine za kutengeneza kinywaji hicho zinavyofanya kazi.
Wafanyakazi wakiwanda hicho wakipanga vinywaji katika maboksi. (Picha na Emmanuel Massaka Globu ya Jamii)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad