Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika pita pita zake, ilibahatika kupita njia hii ya Kinondoni Mahakamani na kukutana na kipita shoto cha kisasa na cha aina yake, katikati ya Barabara, ambacho inadaiwa kwamba kimezinduliwa hivi karibuni na wenyeji wa eneo hilo, kutokana na uwepo wa shimo kubwa katikati ya barabara hiyo, unaohatarisha usalama wa wapita njia.
Wednesday, April 13, 2016
Home
Unlabelled
KIPITA SHOTO CHA KISASA CHAFUNGULIA KINONDONI JIJINI DAR
KIPITA SHOTO CHA KISASA CHAFUNGULIA KINONDONI JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment