Huu utaratibu wa hawa waendesha pikipiki kutofuata Sheria za Usalama Barabarani katika mataa ya kuongozea magari na vyombo hivyo,umekuwa ukishika kasi siku hadi siku. hapa huyu mwendesha pikipiki akiwa na abiria wake walionaswa na Kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa Blog wakijaribu kuikwepa basi iliyokuwa ikipita kwa kwenye mataa hayo baada kuruhusiwa, Jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao wote wawili lakini linafanyika kana kwamba ni jambo la kawaida tu.
Thursday, March 17, 2016
Home
Unlabelled
bodaboda na haraka zao barabarani zisizo na mpango
bodaboda na haraka zao barabarani zisizo na mpango
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment