Wakazi wa maeneo ya karibu na karibu na Kanisa la KKKT la Kinondoni B Msisiri jijini Dar es Salaam wapohatalini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na maeneo wanayoishi kutuama maji kwa muda mrefu.
Maji yakiwa yamezunguka nyumba zilizopo mbonde la Msisiri Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii)
Mrundikano wa takataka katika maeneo yao.
Wakazi wa maeneo ya Msisiri kama inavyoonekana kwenye picha wakiwa wametengeneza daraja la kuvukia kwenda mahari popote.
No comments:
Post a Comment