Leo Februari 4, 2016 ni siku ya hepi besdei ya kuzaliwa Mtangazaji wa Kipindi cha Danga Chee cha Michuzi Tv Online kinachorushwa kila siku ya Alhamisi ndani ya Kituo cha Channel 10, Shamsa Danga, ambaye amepata bonge la sapraizi la keli pindi tu alipofika kwenye kituo chake cha kazi. pichani akipuliza mishumaa kwenye keki wakati wa hafla, huku baadhi ya wafanyakazi wenzake wakishuhudia tendo hilo.
Sehemu ya Team ya Michuzi Media Group (MMG) chini ya Ankal Issa Michuzi (pili kulia) ikiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumpongeza mfanyakazi mwenzao ambaye ni Mtangazaji wa Kipindi cha Danga Chee cha Michuzi Tv Online kinachorushwa kila siku ya Alhamisi ndani ya Kituo cha Channel 10, Shamsa Danga aliesherehekea hepi besdei yake ya kuzaliwa leo.

No comments:
Post a Comment